Pakua Habari

Onesha kichujio cha hali ya juu
Matokeo ya Utafutaji: 69 mechi zilizopatikana

Je, Usalama wako uko wapi?
Usalama wa Mtu uko katika kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yake.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:42 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Wakristo wanajua Baraka Zao?
Wakristo wengi hawajui kwamba baada ya kuokolewa Mungu ametukabidhi Baraka zote za rohoni na mwilini.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:33 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Wokovu na Maisha ya Imani
Mungu atabaki kuwa ni Mungu kwa sababu anajitosheleza na haya tunaamini kwa Imani.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:47 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Hali ya Kanisa Ulimwenguni
Kanisa ni kusanyiko la watu wa Mungu na siyo Jengo na sasa limeanza kupoteza mwelekeo Duniani kwa sababu ya mafundisho ya uongo.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:00 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Anguko la Adam and Eva
Madhara ya dhambi ya Adamu na Eva ni makubwa.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:04 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Dhambi ina malipo?
Ndiyo dhambi inamalipo kutokana na matendo ya mtu.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:46 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Damu ya Yesu inaweza kusafisha Dhambi
Damu ya Yesu inaosha dhambi zote. Inasamehe dhambi.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:14 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Mamlaka ya Yesu
Yesu anamamlaka yote mpaka uumbaji. Mamlaka ni Uwezo, ni kila kitu. Yesu halingani Mamlaka na watawala wa Dunia hii.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:15:03 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Maombi
Maombi kitu mhimu sana katika maisha ya Mkristo. Maombi ni mazungumzo na Mungu.
Na: Rev. Cosmas B. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:31 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Lifeword Shows

Click show name below for all episodes
MAOMBI YA KUJIUNGA
CHANGIA SASA